Kutoaminiana ni tishio linalozidi kukua kwa afya ya umma. Ikiongozwa na kiwango cha chini cha kuamini chanjo na kuchochewa na habari nyingi za uongo, magonjwa yanayoweza kuzuiwa kwa chanjo yameongezeka kwa sababu ya kupungua kwa idadi ya wanaopata chanjo.

Kozi hii imebuniwa kwa ajili ya watoa huduma za afya kuelewa mambo ya msingi kuhusu habari za uongo na kuwapa zana za kukabiliana nazo. 


Number of attempts allowed: Unlimited
Number of attempts you have made: 0
Grading method: Highest attempt
Grade reported: None